Pata ramani za nyumba Dar es Salaam zilizochorwa na wasanifu wetu wa majengo Tanzania walio mahiri na wabobezi kwenye uchoraji majengo. Hapo chini ni picha ya jengo ambalo ujenzi unaendelea na pia unaweza kujipatia ramani husika kwa chini ya picha.

Ramani kwenye Tovuti yetu!