Ramani Za Nyumba

Ramani Za Nyumba

Jipatie ramani za nyumba za kisasa zilizo tayari na uanze ujenzi wa nyumba upendayo LEO. Ramani zetu zimechorwa na wasanifu ujenzi na wahandisi wataalamu waliobobea katika ujenzi. Unaweza kupata ramani za nyumba ndogo nzuri za vyumba 3, 2, 4 au kulingana na mahitaji yako. Pia tunaweza kukupatia nyumba za kisasa za vyumba 3, 2, 4 au zaidi na gharama za ujenzi kulingana na mahitaji yako. Pia tunaweza kukupatia ramani mpya kulingana na mahitaji yako na kwa muundo wowote wa nyumba kupitia wasanifu majengo wetu. Unaweza kulipa kwa kupitia M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money, MTN au Benki.

premium

PREMIUM ACCOUNT

  • tick View floor plans & areas
  • tick View cost to build
  • tick 1 year access
  • tick $49 Discount Coupon for any plan
$49.00